facebook instagram youtube

UTAFITI WA KUPIMA UWEZO WA WATOTO KUJIFUNZA

TYC inahitaji vijana 60 wa kujitolea watakaoshiriki katika utafiti wa kupima uwezo wa Watoto kujifunza utakaofanyika katika wilaya ya ilala.

Vigezo

  • Awe amehitimu kidato cha nne na kupata angalau daraja la III, nakufaulu masomo ya kiingereza na hisabati/ Awe yuko chuo au amehitimu.
  • Awe anaweza kuzungumza kwa ufasaha lugha ya kiigereza na Kiswahili.
  • Awe ana simu ya kiganjani.¬† Kama anasmart phone ni bora Zaidi.
  • Awe anaweza kuwasiliana kwa simu ya kiganjani.
  • Awe ni jasiri na mwenye uwezo wa kutembea umbali mrefu, kwa mguu.
  • Awe ni muadilifu.

Tuma barua ya maombi na CV kupitia tanzaniayouthcoalition1@gmail.com

Mwisho wakutuma maombi ni Tarehe: 02/11/2018

Wanawake  wanasisitizwa kutuma maombi yao